Foreign Exchange Rates

DStv Advert_020324

DStv Advert_020324

SBT Tanzania Advert_291123

Thursday 28 March 2019

BENKI YA BIASHARA YA MKOMBOZI YAZINDUA TAWI IRINGA

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Vangimembe Lukuvi (katikati) akikata utepe kuzindua Tawi jipya la Benki ya Biashara Mkombozi Mkoani Iringa hivi karibuni huku viongozi wakishuhudia tukio hilo. Kutoka kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Richard Kasesela, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara ya Mkombozi, Bw. George Shumbusho na Askofu wa Jimbo la Iringa, Tarcisius Ngalalekumtwa.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Vangimembe Lukuvi (katikati) pamoja na viongozi wengine wakifurahiya wakati wa hafla ya kuzindua Tawi jipya la Benki ya Biashara Mkombozi, Mkoani Iringa hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment