Foreign Exchange Rates

CRDB Bank Advert_070325

Selcom Pesa Advert_110225

Selcom Pesa Advert_110225

Standard Chartered Advert_300125

Standard Chartered Advert_300125

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

Tuesday, 19 February 2019

BENKI YA EXIM MDHAMINI MKUU MASHINDANO YA GOLF JIJINI ARUSHA

Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Exim, Jaffari Matundu (wa pili kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Mshiriki wa Golf toka Rotary club ya Arusha mara baada ya kufungua rasmi mashindano hayo katika viwanja vya Gymkana Arusha. Wengine ni Meneja wa Matawi ya Exim kanda ya Kaskazini Amos Lymo (kushoto) na Meneja wa Masoko na Mawasiliano Abdulrahman Nkondo (kulia).
Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Exim Stanley Kafu (wa nne kushoto) akimkabidhi kombe Michael Rotich (wa tatu kulia) baada ya kuibuka mshindi wa mashindano ya Golf yaliyoandaliwa na Rotary club mjini Arusha mwishoni mwa wiki iliyopita katika viwanja vya Gymkanah Arusha. Exim Bank ndiye mdhamini mkuu wa mashindano hayo yaliyolenga kuchangisha fedha kwa ajili ya kuisaidia jamii katika kuboresha sekta ya Elimu na Afya jijini humo.
Meneja Masoko na Mahusiano na Mawasiliano wa Benki ya Exim, Abdulrahman Nkondo akifungua rasmi mashindano ya Golf yaliandaliwa na Rotary Club of Mt Meru Arusha hivi karibu. Benki ya Exim ndiyo iliyokuwa mdhamini Mkuu wa mashindano hayo.

No comments:

Post a Comment