Foreign Exchange Rates

DStv Advert_020324

DStv Advert_020324

SBT Tanzania Advert_291123

Thursday 29 November 2018

UONGOZI WA BENKI YA CRDB WATEMBELEA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA (NHC), WAJADILIANA MASUALA MBALIMBALI YA KIUSHIRIKIANO

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Dk. Maulidi Banyani akimkaribisha ofisini kwake Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Ndugu Abdulmajid Mussa Nsekela ambaye alifika makao makuu ya NHC na Watendaji wake wakuu kuzungumzia masuala mbalimbali ya ushirikiano wa kitaasisi yanayohusu ujenzi wa makao makuu mapya ya Benki ya CRDB yanayojengwa na NHC eneo la Palm Beach. Wakurugenzi hao kwa pamoja wameeleza kufurahishwa na michakato na mahusiano ya taasisi hizo mbili kubwa nchini kwenda vizuri. 
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Dk. Maulidi Banyani akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Ndugu Abdulmajid Mussa Nsekela.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Dk. Maulidi Banyani akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Ndugu Abdulmajid Mussa Nsekela. 
Meneja, Ofisi ya Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Arden Kitomari akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Ndugu Abdulmajid Mussa Nsekela. 
Jengo la Makao Makuu mapya ya Benki ya CRDB yanayojengwa na NHC eneo la Palm Beach linavyoonekana kwa sasa.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Ndugu Abdulmajid Mussa Nsekela akitia saini kitabu cha wageni huku Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Dk. Maulidi Banyani akishuhudia na Watendaji wakuu wa NHC na CRDB.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Dk. Maulidi Banyani akimkaribisha Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Esther Kitoka wakati uongozi wa CRDB ulipofika NHC kujadiliana masuala mbalimbali ya kiushirikiano.
Mkutano baina ya viongozi wakuu waandamizi wa benki ya CRDB na wale wa NHC ukiendelea kwenye makao makuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Kambarage House.
Mkutano baina ya viongozi wakuu waandamizi wa benki ya CRDB na wale wa NHC ukiendelea kwenye makao makuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Kambarage House.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Ndugu Abdulmajid Mussa Nsekela akifafanua jambo kwenye mkutano huo huku Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Dk. Maulidi Banyani akifuatilia.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Ndugu Abdulmajid Mussa Nsekela akifafanua jambo kwenye mkutano huo huku Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Dk. Maulidi Banyani akifuatilia. Picha ya pamoja baada ya Mkutano baina ya viongozi wakuu waandamizi wa benki ya CRDB na wale wa NHC ukiendelea kwenye makao makuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Kambarage House.
Picha ya pamoja baada ya Mkutano baina ya viongozi wakuu waandamizi wa benki ya CRDB na wale wa NHC ukiendelea kwenye makao makuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Kambarage House.

No comments:

Post a Comment