Foreign Exchange Rates

DStv Advert_020324

DStv Advert_020324

SBT Tanzania Advert_291123

Tuesday 27 November 2018

DTB YAIBUKA NA USHINDI WA 4-0 DHIDI YA KUMBUKUMBU FC

948207
Nahodha wa timu ya mpira wa miguu ya Diamond Trust Bank (DTB), David Kikambako (mwenye jezi ya kijani) akiwaongoza wachezaji wake kusalimiana na timu pinzani ya Kumbukumbu FC kabla ya kuanza kwa mechi ya ligi ya daraja tatu kwa Wilaya ya Kinondoni iliyopigwa jana katika Uwanja wa Chuo cha Sheria jijini Dar es salaam. DTB iliibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Kumbukumbu FC. 
948209Kocha msaidizi wa timu ya mpira wa miguu ya Diamond Trust Bank (DTB), Kambi Mzee Kambi akizungumza na wachezaji wake wakati wa mechi ya ligi ya daraja la tatu kwa wilaya ya Kinondoni iliyopigwa katika Uwanja wa Chuo cha Sheria jana jijini Dar es salaam. DTB FC ilishinda 4-0 dhidi ya Kumbukumbu FC.
948211Kocha msaidizi wa timu ya mpira wa miguu ya Diamond Trust Bank (DTB), Kambi Mzee Kambi akiongoza dua kabla ya mechi ya ligi ya daraja la tatu kwa wilaya ya Kinondoni iliyozikutanisha Timu ya mpira wa miguu ya DTB na Kumbukumbu FC. Mechi hiyo iliyopigwa katika Uwanja wa Chuo cha Sheria jana jijini Dar es salaam ambapo DTB iliibuka na ushindi wa mabao 4-0.
948212Mchezaji wa timu ya mpira wa miguu ya Diamond Trust Bank (DTB), Hussein Khamis akiwania mpira na mchezaji wa Kumbukumbu FC, Shauri Abbas wakati wa mechi ya ligi ya daraja la tatu kwa wilaya ya Kinondoni iliyopigwa katika Uwanja wa Chuo cha Sheria jana jijini Dar es salaam. DTB iliibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Kumbukumbu FC.

948220Mchezaji wa timu ya mpira wa miguu ya Diamond Trust Bank (DTB), Hussein Juma akiwania mpira na mchezaji wa Kumbukumbu FC, Musa John wakati wa mechi ya ligi ya daraja la tatu kwa wilaya ya Kinondoni iliyopigwa katika Uwanja wa Chuo cha Sheria jana jijini Dar es salaam. DTB iliibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Kumbukumbu FC.
948221Kocha msaidizi wa timu ya mpira wa miguu ya Diamond Trust Bank (DTB), Kambi Mzee Kambi akizungumza na wachezaji wake wakati wa mapumziko katika mechi ya ligi ya daraja la tatu kwa wilaya ya Kinondoni iliyopigwa katika Uwanja wa Chuo cha Sheria jana jijini Dar es salaam. DTB iliibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Kumbukumbu FC. Anayeshuhudia kulia ni Kocha mkuu wa timu ya hiyo, Michael Lugalela.

No comments:

Post a Comment