Foreign Exchange Rates

DStv Advert_020324

DStv Advert_020324

SBT Tanzania Advert_291123

Thursday 26 October 2017

WAANDISHI WA HABARI WAPEWA MAFUNZO YA BIDHAA ZA QNET JIJINI DAR ES SALAAM

Waadishi wa habari katika hafla fupi ya mafunzo ya bidhaa za Qnet wakimsikiliza mtoa mafunzo Sunny Shaper iliyofanyika katika ofisi za QNET jijini Dar es salaam hivi karibuni.
Waadishi wa habari katika hafla fupi ya mafunzo ya bidhaa za Qnet wakimsikiliza mtoa mafuno Azal Tholaya iliyofanyika katika ofisi za QNET jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
Wafanyakazi na wawakilishi wa QNET baada ya hafla fupi ya mafunzo ya bidhaa za QNET iliyofanyika ofisi za QNET mjini Dar es Salaam wakiwemo mwakilishi wa QNET, Tanzania, Benjamin Mariki, Mkurugenzi, Frontline Porter Novelli, Helen Kiwia, watoa mafunzo ya bidhaa za QNET, Azal Tholaya na Sunny Shaper.

No comments:

Post a Comment