Foreign Exchange Rates

CBA Bank holiday VISA card campaign

Renault Megane Promotion

Advert Request Banner

Advert Request Banner

Wednesday, 8 February 2017

ZIARA YA WAZIRI WA ARDHI MH. WILLIAM LUKUVI NA NAIBU WAZIRI MH. ANGELINA MABULA KATIKA MRADI WA NHC, IYUMBU, DODOMA

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemiah Kyando Mchechu akimpokea Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. William Lukuvi alipotembelea Mradi wa Iyumbu, Dodoma, hivi karibuni.

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemiah Kyando Mchechu akiwa na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. William Lukuvi walipotembelea Mradi wa Iyumbu, Dodoma, hivi karibuni. 
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemiah Kyando Mchechu, akimkalibisha Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. Angelina Mabula alipotembelea Mradi wa Iyumbu, Dodoma, hivi karibuni.Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Makazi Mh. Angelina Mabula akiangalia moja ya Nyumba katika Mradi wa Iyumbu, Dodoma. 


Mradi wa Nyumba wa Iyumbu Satellite Center, Dodoma.

Mradi wa Nyumba wa Iyumbu Satellite Center, Dodoma.

No comments:

Post a Comment