Foreign Exchange Rates

DStv Advert_010224

DStv Advert_010224

SBT Tanzania Advert_291123

Thursday 22 September 2016

BENKI YA NBC YAZIDI KUWAWEZESHA VIJANA KIUCHUMI

Meneja Huduma za Jamii wa NBC, Irene Peter (kulia), akizungumza
na baadhi ya vijana wanaosoma katika Chuo cha Ufundi cha Future World kuhusu masuala ya ujasiriamali na elimu ya kifedha chuoni hapo, Gongo la Mboto, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam Hhivi karibuni. Mafunzo hayo yaliyodhaminiwa na benki hiyo ni moja kati ya mipango ya NBC yakuwawezesha vijana na elimu ya kifedha.
Mkuu wa Huduma za Kibenki za Taasisi wa NBC, Noelina Kivaria
(kushoto), akitoa maelezo kuhusu masuala ya elimu ya kifedha chuoni hapo, Gongo la Mboto, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Mafunzo hayo yaliyodhaminiwa na benki hiyo ni moja kati ya mipango ya NBC yakuwawezesha vijana na elimu ya kifedha.
Mkuu wa Kitengo cha Sekta ya Umma na Taasisi za Fedha wa NBC,
Linley Kapya (kulia), akitoa maelezo kuhusu masuala ya elimu ya
kifedha chuoni hapo, Gongo la Mboto, nje kidogo ya Jiji la Dar es
Salaam mwishoni mwa wiki. Mafunzo hayo yaliyodhaminiwa na benki hiyo ni moja kati ya mipango ya NBC yakuwawezesha vijana na elimu ya kifedha.
Meneja Usimamizi Malipo wa NBC, Servance Ngowi (kushoto), akitoa
maelezo kuhusu masuala ya elimu ya kifedha chuoni hapo, Gongo la
Mboto, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Mafunzo hayo yaliyodhaminiwa na benki hiyo ni moja kati ya mipango ya NBC yakuwawezesha vijana na elimu ya kifedha.
Mkuu wa Kitengo cha Makampuni Makubwa ya ndani wa NBC, Prosper
Nambaya (kulia) akitoa maelezo kuhusu masuala ya elimu ya kifedha
chuoni hapo, Gongo la Mboto, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam
mwishoni mwa wiki. Mafunzo hayo yaliyodhaminiwa na benki hiyo ni moja kati ya mipango ya NBC yakuwawezesha vijana na elimu ya kifedha.
Mmoja wa wafanyakazi wa benki hiyo, Rosemary Petro (kushoto),
akizungumza na wanafunzi hao chuoni hapo.
Baadhi ya nafunzi wa Chuo cha Future World wakihudhuria mafunzo
kuhusu ujasiriamali, stadi za kazi, na elimu ya kifedha chuoni hapo
yaliyodhaminiwa na NBC hivi karibu.

No comments:

Post a Comment