Foreign Exchange Rates

Air Tanzania

Investment Promotion Exhibition & Conference

Advertise Here

Advertise Here

Tuesday, 28 June 2016

BENKI YA CRDB YAFADHILI UJENZI WA KITUO CHA MAWASILIANO CHA JESHI LA POLISI

Jiwe la Msingi la Kituo cha Mawasiliano cha Jeshi la Polisi lililowekwa na Rais Dk. John Magufuli. Kituo hicho kimefadhiliwa na Benki ya CRDB kwa gharama ya zaidi ya shilingi milioni 300.
Brass Band ya Polisi ikitumbuiza katika hafla ya uzinduzi wa Kituo cha Mawasiliano cha Jeshi la Polisi.
Rais John Magufuli (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Serikali. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei.

Michuzi Blog

No comments:

Post a Comment