Foreign Exchange Rates

DStv Advert_020324

DStv Advert_020324

SBT Tanzania Advert_291123

Wednesday 30 September 2015

TIGO NA REACH FOR CHANGE WAZINDUA SHINDANO LA WAJASIRIAMALI JAMII

Meneja mkuu wa Tigo Tanzania Diego Gutierrez, akiongea na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa shindano la wajasiriamali jamii liitwalo “Tigo Digital Change-makers”, kampuni ya Tigo kushirikiana na Reach for Change kila mwaka wanatafuta watu wenye kuibua mawazo ya kibunifu ambayo yatasaidia kutatuta matatizo yanayowakabili watoto na vijana nchini.
Meneja wa Reach for Change Tanzania, Peter Nyanda, akiongea na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa shindano la wajasiriamali jamii liitwalo “Tigo Digital Change-makers”, kampuni ya Tigo kushirikiana na Reach for Change kila mwaka wanatafuta watu wenye kuibua mawazo ya kibunifu ambayo yatasaidia kutatuta matatizo yanayowakabili watoto na vijana nchini.
Mwanzilishi wa Shule Direct ,Iku Lazaro ambaye ni mmoja kati ya wabunifu miradi akiongea na waandishi jinsi gani alivyobuni mradi wake.
Meneja mkuu wa Tigo Tanzania Diego Gutierrez, akiongea na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa shindano la wajasiriamali jamii liitwalo “Tigo Digital Change-makers”, wengine kulia kwake Meneja wa Reach for Change Tanzania, Peter Nyanda,kushoto mwisho Lilian Matari Afisa Mawasiliano wa Reach for Change Africa na kulia mwisho May Thomas Kaimu Meneja Huduma kwa Jamii wa Tigo.

No comments:

Post a Comment