Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Wednesday 11 February 2015

RAIS JAKAYA KIKWETE AFUNGUA JENGO LA NSSF LA KITEGA UCHUMI MOSHI

NSSF Kilimanjaro Commercial Complex mjini Moshi, Mkoani Kilimanjaro.
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa Kazi na Ajira Mh. Gaudensia Kabaka (watano kushoto), Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Dkt. Ramadhani Dau (wapili kulia), Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama (wapili kushoto) pamoja na viongozi na wadau wengine wakikata utepe kufungua rasmi jengo la kitega uchumi la NSSF Kilimanjaro Commercial Complex mjini Moshi, Mkoani Kilimanjaro jana. 
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Dkt. Ramadhan Dau pamoja na wadau wengine wakitazama ramani ya jengo jipya la kitega uchumi la NSSF mjini Moshi Kilimanjaro Commercial Complex wakati wa hafla ya ufunguzi jana.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na chipkizi wa Tanzania Girl Guides wakati wa hafla ya ufunguzi wa jengo la kitega uchumi la NSSF mjini Moshi jana.Tanzania Girl Guides,UMATI,Tanzania Red Cross ni wadau wa NSSF katika mradi huo.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Mkurugenzi Mkuuu wa NSSF, Dkt. Ramadhan Dau baada ya hafla ya ufunguzi wa jengo jipya la kitega uchumi la NSSF mjini Moshi jana. Katikati ni Waziri wa Kazi na Ajira Mh. Gaudensia Kabaka (Picha na Freddy Maro).

No comments:

Post a Comment