Foreign Exchange Rates

Absa Loan Campaign_160426

Absa Loan Campaign_160426

CRDB Bank Advert_070325

Friday, 16 January 2015

MH. PINDA AKUTANA NA VIONGOZI WA BENKI YA BADEA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Fedha Saada Mkuya (wapili kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Benki ya Arab Bank for Economic Development in Africa (BADEA) baada ya mazungumzo kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Januari 15, 2015. Kutoka kushoto ni Abdulrahm Hassan Naq, Abdulrahman Bin Saleh Al-Otaishan na Abdelaziz Khelef.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na viongozi wa Benki ya Arab Bank for Economic Development in Africa (BADEA) baada ya kukutana nao kwenye Ofisini kwake jijini Dar es salaam Januari 15, 2015. Kutoka kushoto ni Abdulrahman Bin Saleh Al-Otaishan na Abdelaziz Khelef.

Waziri wa Fedha Saada Mkuya (kushoto) akiteta na Kiongozi wa Benki ya Arab Bank for Economic Development in Africa (BADEA), Abdulrahm Hassan Naq baada ya mazungumzo kati ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na ujumbe wa Benki hiyo, Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Januari 15, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment