Foreign Exchange Rates

DStv Advert_020324

DStv Advert_020324

SBT Tanzania Advert_291123

Wednesday 21 January 2015

MFUKO WA PENSHENI WA PPF WATEMBELEWA NA UONGOZI WA CLUB YA ARSENAL KWA LENGO LA KUJITANGAZA

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF ndugu William Erio (katikati) akipokea jezi ya timu ya Arsenal kutoka kwa Mkurugenzi wa Mahusiano ya Kimaendeleo ya Arsenal Bwana Sam Stone (kulia). Kushoto ni Meneja wa Mahusiano ya Kimaendeleo ya Arsenal Bwana Daniel Willey. Lengo la ziara hiyo ni kuanzisha mahusiano kati ya PPF na Club ya Arsernal kwa kuendelea kujenga imani kwa wateja wao na kuendelea kujitangaza.
Uongozi wa club ya Arsenal ukipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF ndugu William Erio (Kushoto).

Michuzi Blog

No comments:

Post a Comment