Foreign Exchange Rates

DStv Advert_010224

DStv Advert_010224

SBT Tanzania Advert_291123

Monday 29 December 2014

UJENZI WA BARABARA YA CHUO KIKUU KUTOKEA MBEZI YA KIMARA UKIENDELEA KWA KASI


Pichani juu ni sehemu ya kipande cha barabara ya lami ambacho tayari kimekwisha kamilika, kama kilivyonaswa na Globu ya Jamii wakati ikivinjari katika barabara hiyo mwishoni mwa wiki na kujionea ujenzi huo ukienda kwa kasi. Barabara hiyo ambayo imeonekana kuwa na umuhimu mkubwa katika jitihada za kupambana na msongamano wa magari ambao umekuwa kero kubwa kwa wakazi wa jiji la Dar na kwingineko. Barabara hiyo almaarufu kwa jina la barabara ya chuo kikuu ambayo pia unaweza kwenda Goba ama kuchepuka na kutokea Mbezi ya kimara na kuendelea na safari yako, kwa sasa inapitika kwa kiasi kikubwa.




Michuzi Blog

No comments:

Post a Comment