Foreign Exchange Rates

DStv Advert_020324

DStv Advert_020324

SBT Tanzania Advert_291123

Wednesday 26 November 2014

MAADHIMISHO YA NANE YA SIKU YA MLIPA KODI YA TRA YAFANYIKA JIJINI DAR

Mkurugenzi kwa Walipakodi na Elimu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Richard Kayombo akizungumza wakati wa ufunguzi wa kilele cha Maadhimisho ya nane ya Siku ya Mlipa Kodi, yaliyofanyika Novemba 21, 2014 kwenye Ukumbi wa Mikutano ya Kimataifa wa Mwalimu J.K. Nyerere, Jijini Dar es Salaam.

Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Rished Bade akitoa hotuba yake kwenye kilele cha Maadhimisho ya nane ya Siku ya Mlipa Kodi yenye kauli mbiu isemayo "Risiti ni Haki Yako, Unaponunua Dai Risiti na Unapouza ni Lazima Utoe Risiti", yaliyofanyika Novemba 21, 2014 kwenye Ukumbi wa Mikutano ya Kimataifa wa Mwalimu J.K. Nyerere, Jijini Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bernard Mchomvu akitoa hotuba yake kwenye kilele cha Maadhimisho ya nane ya Siku ya Mlipa Kodi yenye kauli mbiu isemayo "Risiti ni Haki Yako, Unaponunua Dai Risiti na Unapouza ni Lazima Utoe Risiti", yaliyofanyika Novemba 21, 2014 kwenye Ukumbi wa Mikutano ya Kimataifa wa Mwalimu J.K. Nyerere, Jijini Dar es Salaam.

Naibu Waziri wa Fedha, Mh. Adam Malima akitoa nasaha zake kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wakati wa Maadhimisho ya nane ya Siku ya Mlipa Kodi yenye kauli mbiu isemayo "Risiti ni Haki Yako, Unaponunua Dai Risiti na Unapouza ni Lazima Utoe Risiti", yaliyofanyika Novemba 21, 2014 kwenye Ukumbi wa Mikutano ya Kimataifa wa Mwalimu J.K. Nyerere, Jijini Dar es Salaam.
Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya nane ya Siku ya Mlipa Kodi, Waziri Kiongozi (Mstaafu), Mh. Shamsi Vuai Nahodha akitoa hotuba yake katika kilele cha Maadhimisho hayo yaliyofanyika Novemba 21, 2014 kwenye Ukumbi wa Mikutano ya Kimataifa wa Mwalimu J.K. Nyerere, Jijini Dar es Salaam.


Sehemu ya Wageni waalikwa kutoka nchi mbali mbali wakifatilia kwa makini hotuba ya Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Rished Bade (hayupo pichani) aliyokuwa akiitoa wakati wa kilele cha Maadhimisho ya nane ya Siku ya Mlipa Kodi yenye kauli mbiu isemayo "Risiti ni Haki Yako, Unaponunua Dai Risiti na Unapouza ni Lazima Utoe Risiti", yaliyofanyika Novemba 21, 2014 kwenye Ukumbi wa Mikutano ya Kimataifa wa Mwalimu J.K. Nyerere, Jijini Dar es Salaam.

Kamishna Mkuu wa zamani wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Harry Kitilya akifatilia kwa makini hotuba zilizokuwa zikitolewa Mkutanoni hapo.


Sehemu ya Wadau wa TRA wanaoongoza kwa Ulipaji Kodi wakiwa kwenye Mkutano huo. (Picha zote na Othman Michuzi).

Kwa picha zaidi, bofya hapa.

No comments:

Post a Comment