Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Tuesday 12 August 2014

KAMPUNI YA MAFUTA NA GESI YA SWALA YAKARIBISHWA RASMI SOKO LA HISA LA DAR

Rais mstaafu wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Mh. Alhaj Ali Hassan Mwinyi akigonga kengele kuashiria kuingia rasmi kwa kampuni ya Mafuta na Gesi ya Swala kwenye Soko la Hisa la Dar es salaam.

Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Mafuta na Gesi ya Swala Bw. David Mestres akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa sherehe za kukaribishwa rasmi kwa kampuni ya Swala kwenye soko la Hisa la Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa Kampuni ya Mafuta na Gesi ya Swala Bw. Ernest Massawe akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa sherehe za kukaribishwa rasmi kwa kampuni ya Swala kwenye soko la Hisa la Dar es  Salaam.

Rais mstaafu wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Mh. Alhaji Ali Hassan Mwinyi akipozi kwenye picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Kampuni ya Mafuta na Gesi ya Swala Bw. Ernest Massawe na Mkurungenzi wa Swala Bw. Abdullah Mwinyi kwenye sherehe za kukaribishwa rasmi kampuni ya Swala kwenye soko la Hisa la Dar es salaam.

Mwenyekiti mtendaji wa makampuni ya IPP Dk. Reginald Mengi na Mh. Joseph Mungai wakimsikiliza Rais Mstaafu Mh. Alhaj Ali Hassan Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa kukaribishwa kwa kampuni ya Swala kwenye Soko la Hisa la Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment