| Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Vodacom Tanzania PLC, David Tarimo (wa pili kushoto), akimsikiliza Meneja wa Maduka ya Rejareja wa kampuni hiyo, Vanessa Mlawi, akielezea huduma mbalimbali za kidijitali wakati wa uzinduzi wa duka jipya pamoja na ofisi ya Vodacom Kanda ya Kaskazini zilizoko katika jengo la PAPU jijini Arusha. Uzinduzi huo, uliofanyika kama sehemu ya maadhimisho ya miaka 25 ya kampuni hiyo, unaendelea kusogeza huduma karibu na wateja kupitia njia mbalimbali, ikiwemo za kidijitali. Kulia (mwenye kofia nyekundu) ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Vodacom, Philip Besiimire. |
No comments:
Post a Comment