Meneja Mauzo wa Mkoa wa Arusha, Vodacom Tanzania Plc, Fredrick Laini (kulia) akimkabidhi mfano wa hundi ya Shilingi laki tano mshindi wa droo ya saba ya Kampeni ya Ni Balaa, Kila Mtu ni Mshindi Sia Hulbert (kushoto) katika hafla iliyofanyika dukani hapo. Ili kuibuka mshindi endelea kufanya miamala na kununua vifurushi kwa kutumia M-Pesa super App. | Ni Balaa! Mshindi wa droo ya saba ya kampeni ya Ni Balaa, Kila Mtu Ni Mshindi kutoka Vodacom Tanzania Plc, Bi Cecilia Sambu (kushoto), akipokea mfano wa hundi ya Shilingi laki tano kutoka kwa meneja wa duka la Vodacom Arusha Zeenath Mwindi (kulia) katika hafla iliyofanyika kwenye dukani hapo. Ikiwa ni mwendelezo wa kampeni hiyo, ili kuibuka mshindi endelea kufanya miamala na M-Pesa super App au nunua vifurushi kwa kupiga *150*00# |
|
No comments:
Post a Comment