| Mkurugenzi wa Udhibiti wa Hatari na Utii wa Sheria wa Vodacom Tanzania PLC, Agapinus Tax akishea matunda na mmoja wa watoa huduma wa kampuni hiyo jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya huduma ambayo kauli mbiu yake kwa mwaka huu ni ‘Timu Moja, Huduma kwa Wote’ huku akishuhudiwa na Mkuu wa Ununuzi, Utawala na Usimamizi wa Programu wa Vodacom Tanzania PLC, Bi. Grace Chambua (kulia). Wiki ya Huduma kwa Wateja huadhimishwa wiki ya kwanza ya mwezi Oktoba ya kila mwaka duniani kote kuthamini mchango wa wateja na wafanyakazi katika utoaji wa huduma. |
No comments:
Post a Comment