Foreign Exchange Rates

Absa Loan Campaign_160426

Absa Loan Campaign_160426

CRDB Bank Advert_070325

Monday, 9 October 2023

TAMTHILIA MPYA YA KITURUKI NDANI YA DStv BOMBA


DStv na Mturuki……..!

Kaa tayari kwa ujio wa tamthilia ya Kituruki iitwayo BARBAROS, iliyotafsiriwa kwa lugha ya kiswahili.

Tamthilia hii itaanza kuruka kuanzia tarehe 23 Octoba 2023 kupitia chaneli ya Mambo Moto 140, inayopatikana kupitia DStv ndani ya kifurushi cha Bomba cha TShs. 24,000/= tu.

Piga *150*53# kulipia kwa urahisi zaidi.

Na kama hujajiunga na DStv, jiunge sasa na ofa ya TShs. 59,000/= tu kwa kupiga 0659 07 07 07.

#BarbarosNdaniYaDStv
#Unakosaje

No comments:

Post a Comment