
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tanzania Commercial Bank, Bw. Jema Msuya (wa tatu kushoto) akikata keki wakati wa maadhimisho ya wiki ya hudima kwa mteja. Hafla hiyo ilifanyika katika tawi jipya la benki hiyo lililozinduliwa hivi karibuni Mpwapwa Mkoani Dodoma. Wengine pichani ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki hiyo, Edmund Mndolwa, Meneja wa Tawi hilo pamoja na wateja.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tanzania Commercial Bank, Bw. Jema Msuya akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa tawi jipya la benki hiyo lililozinduliwa hivi karibuni Mpwapwa Mkoani Dodoma ambapo mgeni rasmi katika uzinduzi huo alikuwa Kaimu Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa, Abdallah Shaib.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tanzania Commercial Bank, Bw. Jema Msuya pamoja na maafisa wengine wa benki hiyo wakifurahia mara baada ya kuzindua tawi jipya la benki hiyo lililozinduliwa hivi karibuni Mpwapwa Mkoani Dodoma ambapo mgeni rasmi katika uzinduzi huo alikuwa Kaimu Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa, Abdallah Shaib.
Blog Rebranding Teaser_030826
Stanbic Bank Banner_070826
Absa Loan Campaign_160426
Tuesday, 17 October 2023
BENKI YA TCB YAZINDUA TAWI JIPYA MPWAPWA, DODOMA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment