Foreign Exchange Rates

Equity Bank Advert_12 February 2026

CRDB Bank Advert_070325

Global Sanctions Compliance Masterclass

Wednesday, 14 July 2021

USIKOSE TAMTHILIA YA "JUA KALI" NDANI YA DStv



Bill anaendelea kulalamika juu ya penzi lake kwa Naira, huku mama Michael akimcheka Merry baada ya kushushiwa kichapo, Familia ya Anna hawamtaki kabisa Dk Temba.

Usikose uhondo huu ndani ya Tamthilia ya Jua kali inayoruka kila siku za Jumatano - Ijumaa saa 3:30 usiku kupitia chaneli ya Maisha Magic Bongo 160.

Piga *150*53# kulipia kifurushi cha Bomba TShs 19,900 tu.

#VyaNyumbaniHuanziaDStv

No comments:

Post a Comment