Foreign Exchange Rates

DStv Advert_020324

DStv Advert_020324

SBT Tanzania Advert_291123

Monday 19 July 2021

FURAHIA TAMTHILIA NDANI YA DStv KUPITIA MAISHA MAGIC BONGO CHANELI 160

 

Ben maji yamemfika shingoni anaomba msada kwa Brenda amuombee msamaha Fred ili apate ada, Edu nae anagundua jina lake halali ni Juma Fadhili, anahangaika kujua ukweli na kupata uhakika, Jemo kwisha habari yake wafadhili wake wamekata msada baada ya kugundua alikuwa haendi Chuo. 

Ni leo saa 1:30 ndani ya @maishamagicbongo chaneli 160 @dstvtanzania pekee. cc @isikesamwel

Piga *150*53# kulipia kifurushi Bomba TShs 19,900 tu kutazama visa hivi.

#vyanyumbanihuanziadstv

No comments:

Post a Comment