| Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari (ICT) - Mhe. Mhandisi Andrea Mathew Kundo pamoja na Maafisa wa Wizara hiyo pamoja na Maafisa kutoka UCSAF, TCRA-CCC, TCRA, wakizungumza na Wajumbe wa Kamati Tendaji ya Vodacom Tanzania PLC, wakiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo Hisham Hendi (kwenye runinga) wakati wa ziara ya Naibu Waziri, alipozuru makao makuu ya Vodacom Tanzania jijini Dar es salaam. Lengo la ziara hiyo likiwa ni kufahamiana pamoja na kujadili njia za kuongeza thamani ya mteja na kuhakikisha ufanisi wa utendaji. |
No comments:
Post a Comment