Foreign Exchange Rates

DStv Advert_020324

DStv Advert_020324

SBT Tanzania Advert_291123

Wednesday 8 July 2020

MKURUNGEZI MTENDAJI WA TIGO SIMON KARIKARI ATEMBELEA BANDA TIGO SABASABA

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mawasiliano Tigo, Bw. Simon Karikari akipimwa joto la mwili kabla ya kuingia katika banda la Tigo jana ikiwa ni moja ya tahadhari ya Tigo kwa wateja wake.Tigo inaendelea kutoa ofa kabambe za simu na vifurushi kwa wateja katika msimu huu wa Sabasaba.
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Mawasiliano Tigo,  Bw. Simon Karikari akipokea maelezo kutoka kwa mtoa huduma jana alipotembelea banda la Tigo katika maonesho ya Sabasaba . Tigo inaendelea kutoa ofa kabambe za simu na vifurushi kwa wateja katika msimu huu wa Sabasaba.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mawasiliano Tigo, Bw. Simon Karikari akipata maelezo kutoka kwa watoa huduma kuhusu huduma ya Tigo pesa jana. Tigo inaendelea kutoa ofa kabambe za simu na vifurushi kwa wateja katika msimu huu wa Sabasaba.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mawasiliano Tigo, Bw. Simon Karikari akipokea maelezo Kutoka kwa mtoa huduma jana alipotembelea banda la Tigo katika maonesho ya Sabasaba.

No comments:

Post a Comment