Foreign Exchange Rates

DStv Advert_020324

DStv Advert_020324

SBT Tanzania Advert_291123

Saturday 15 February 2020

WIKIENDI HII TENA @SAMAGOAL77 ATAKICHAFUA NDANI YA #EPL



Wikiendi hii tena @samagoal77 atakichafua ndani ya #EPL, ambapo yeye na kikosi chake cha Aston Villa watavaana na watoto wa Mourinho Tottenham, huku Wolves wakivaana na Leicester City, Norwich wakiwakabili wakubwa Ligi Liverpool, Je watatoboa?

Kama kawaida uhakika wa kutazama mechi zote za #EPL ni ndani ya @dstvtanzania pekee kupitia SS3 kwa kifurushi cha Compact

Na kupitia ofa ya Tia Kitu Pata Vituuz, wewe mteja wa kifurushi cha Family 29,000 ukilipia sasa kifurushi chako utapandishwa kwenda kifurushi cha Compact bila malipo ya ziada ili kufurahia mechi hizi.

#DStvStepUp

No comments:

Post a Comment