Foreign Exchange Rates

Equity Bank Advert_12 February 2026

CRDB Bank Advert_070325

Global Sanctions Compliance Masterclass

Saturday, 15 February 2020

LIGI KUU YA UINGEREZA #EPL KWA LUGHA MARIDHAWA YA KISWAHILI


Ligi kuu ya Uingereza #EPL kwa Lugha maridhawa ya Kiswahili

Ni wakati wako sasa mdau wa soka kufurahia matangazo ya Ligi kuu ya Uingereza (EPL) kwa Lugha ya Kiswahili!

Chukua remote yako kisha bofya kitufe "OPTION" na chagua Langage kwenye Box weka "Soundtrack 2/2"

Mtazame @samagoal77 katika mechi ya Aston Villa dhidi ya Tottenham itakayoruka Live kwa lugha ya Kiswahili

#KilaMtuMachoKodo

No comments:

Post a Comment