Foreign Exchange Rates

Standard Chartered Advert_300125

Standard Chartered Advert_300125

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

Friday, 18 October 2019

BALOZI KAIRUKI AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO KWA RAIS WA VIETNAM

Balozi wa Tanzania nchini China ambaye anawakilisha pia Jamhuri ya Watu wa Vietnam, Mhe. Mbelwa Kairuki akiwasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Watu wa Vietnam, Mhe. Nguyen Phu Trong katika Ikulu ya Vietnam jijini Hannoi hivi karibuni.
Balozi wa Tanzania nchini China ambaye anawakilisha pia Jamhuri ya Watu wa Vietnam, Mhe. Mbelwa Kairuki akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Jamhuri ya Watu wa Vietnam, Mhe. Nguyen Phu Trong katika Ikulu ya Vietnam jijini Hannoi hive karibuni.

No comments:

Post a Comment