| Waziri Mkuu Mstaafu Mh. Mizengo Peter Pinda na Mkurugenzi wa TANTRADE, Edwin Rutageruka (kushoto), wakimsikiliza Afisa Masoko wa Mobisol Farid Abdallah, wakati walipotembelea banda la kampuni hiyo katika maonyesho ya 43 ya Kimataifa ya Biashara katika Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam. |
No comments:
Post a Comment