| Mmoja wa wazee wanaoishi katika Makazi ya wazee wasiojiweza ya Nunge, Vumilia Chambusho (kulia), akipokea msaada wa baadhi ya vyakula, nguo na sabuni kutoka kwa Meneja Bidhaa ya Omo wa Kampuni ya Unilever, Upendo Mkusa (watatu kushoto) vilivyotolewa na Unilever katika kuhitimisha kampeni ya kampuni hiyo ya ‘Toa Mkono wa Ukarimu’ iliyofanyika kipindi cha Mwezi wa Ramadhani. Makabidhiano hayo yalifanyika kituoni hapo, Nunge, Kigamboni nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wanaoshuhudia ni Christabella Msangi na Nurdin Ally walioambata na meneja huyo. |
No comments:
Post a Comment