Foreign Exchange Rates

CRDB Bank Advert

DSTV Advert

Stanbic Bank Adverts

Zantel Advert

NMB Bank Advert - NMB Mkononi

Advertise Here

Advertise Here

Friday, 14 June 2019

BENKI YA CRDB YATINGA BUNGENI KUSHUHUDIA UWASILISHWAJI WA BAJETI YA SERIKALI BUNGENI, DODOMA

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela akiwa ameambatana na Mwenyekiti wa Bodi wa Benki hiyo, Ally Laay (kulia) pamoja na Mjumbe wa Bodi, Abdul Mohamed (kushoto) wakati wakifuatilia hotuba ya mapendekezo ya Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2019/20 iliyokuwa ikiwasilishwa Bungeni na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Phillip Mpango, jana Juni 13, 2019. 
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela akisoma kitabu cha hotuba ya mapendekezo ya Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2019/20 iliyokuwa ikiwasilishwa Bungeni na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Phillip Mpango, jana Juni 13, 2019.
Sehemu ya wafanyakazi wa Benki ya CRDB pamoja na wageni wengine wakiwa kwenye ukumbi wa Bunge wakifuatilia hotuba ya mapendekezo ya Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2019/20 iliyokuwa ikiwasilishwa Bungeni na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Phillip Mpango, jana Juni 13, 2019.

No comments:

Post a Comment