Foreign Exchange Rates

CRDB Bank Advert_070325

Selcom Pesa Advert_110225

Selcom Pesa Advert_110225

Standard Chartered Advert_300125

Standard Chartered Advert_300125

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

Thursday, 7 March 2019

MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA NBC AMTEMBELEA MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (katikati), akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Theobald Sabi (kulia), wakati Mkurugenzi huyo akimtembelea ofisini kwake Ilala, Dar es Salaam hivi karibuni. Kushoto ni Meneja Mahusiano wa NBC, William Kallaghe. Mazungumzo yao yalijikita katika kuangalia namna mbalimbali za kudumisha ushirikiano wa pande zote mbili.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda (katikati), akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Theobald Sabi (kulia) pamoja na Meneja Mahusiano wa NBC, William Kallaghe (kushoto), alipotembelewa na viongozi hao wa NBC ofisini kwake Ilala, Dar es Salaam hivi karibuni.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda (katikati), akifurahia jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Taifa ya Biashara NBC Theobald Sabi, (kulia) pamoja na Meneja Mahusiano wa NBC William Kallaghe (kushoto), walipokwenda kumtembelea ofisini kwake Ilala, Dar es Salaam hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment