Foreign Exchange Rates

Standard Chartered Advert_300125

Standard Chartered Advert_300125

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

Friday, 8 February 2019

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKUTANA NA KAIMU BALOZI WA EU NCHINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana Kaimu Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) nchini, Mhe. Charles Stuart aliyemtembelea na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam. February 7, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifanya mazungumzo na Kaimu Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) nchini, Mhe. Charles Stuart aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es salaam. February 7, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza na kuagana na Kaimu Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) nchini, Mhe. Charles Stuart aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es salaam. February 7, 2019.

No comments:

Post a Comment