Foreign Exchange Rates

CRDB Bank Advert

Ultimate Finance Advert

Advertise Here

Advertise Here

Thursday, 15 November 2018

BENKI YA ECOBANK YAKUTANA NA WATEJA WAKE NA KUWASIKILIZA ILI KUBORESHA HUDUMA NA KUONGEZA UFANISI PAMOJA NA KUWA KARIBU NAO ZAIDI

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Ecobank Tanzania, Mwanahiba Mohammed Mzee akiwakaribisha wateja wa Benki hiyo hivi karibuni katika Hoteli ya Serena, jijini Dar es Salaam. Lengo na madhumini ya siku hiyo ya wateja ikiwa ni kukutana na wateja wao na kuwasikiliza ili kuboresha huduma zao na kuongeza ufanisi pamoja na kuwa karibu zaidi na wateja wao.
Mkuu wa Kitengo cha Biashara wa Benki ya Ecobank, Respige Kimati akiongea na wageni waalikwa.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Ecobank, Mwanahiba Mohammed Mzee (kuli) na Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano, Furaha Samalu (wa pili kulia) wakiongea na kujumuika na wateja wa Benki hiyo.
Baadhi ya wateja na wafanyakazi wa Benki ya Ecobank wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo.
No comments:

Post a Comment