Foreign Exchange Rates

DStv Advert_020324

DStv Advert_020324

SBT Tanzania Advert_291123

Monday 6 August 2018

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MABALOZI WA NCHI MBALIMBALI IKULU, AGOSTI 6, 2018 DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na balozi wa Canada nchini aliyemaliza muda wake Mhe. Ian Myles walipokutana Ikulu jijini Dar es salaam. Agosti 6, 2018. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akizungumza na balozi wa Ubelgiji nchini aliyemaliza muda wake Mhe. Paul Cartier walipokutana Ikulu jijini Dar es salaam. Agosti 6, 2018 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Balozi wa China Mhe. Wang Ke walipokutana kwa mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam. Agosti 6, 2018. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono na Balozi wa Burundi nchini Mhe. Gervais Abayeho aliyemsindikiza Mjumbe maalumu wa Rais wa Burundi ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Mhe. Ezechiel Nibigira Ikulu jijini Dar es salaam. Agosti 6, 2018 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongea na mjumbe maalumu wa Rais wa Burundi ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Mhe. Ezechiel Nibigira aliyefika na Balozi wa Burundi nchini Mhe. Gervais Abayeho na afisa mwandamizi wa Ubalozi Ikulu jijini Dar es salaam. Agosti 6, 2018
Bofya hapa kwa picha zaidi

No comments:

Post a Comment