Foreign Exchange Rates

CRDB Bank Advert

Ultimate Finance Advert

Advertise Here

Advertise Here

Wednesday, 25 July 2018

RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI APOKEA GAWIO LA SERIKALI LA SHILINGI BILIONI 1.2 KUTOKA NHC

Rais Dk. John Pombe Magufuli na Waziri wa Fedha na Mipango Dk. Philip Mpango wakipokea mfano wa hundi ya gawio la shilingi bilioni 1.2 kwa Serikali kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Felix Maagi kwenye hafla iliyofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Julai 23, 2018. 
Rais Dk. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Wakuu wa taasisi mbalimbali za umma 47 bambazo zilifika kuwasilisha hundi zao za gawio kwa Serikali ikiwa ni faida waliyoipata kutokana na biashara na ama kuchangia kwa mwaka wa fedha 2017/18.

No comments:

Post a Comment