Foreign Exchange Rates

Ascon Africa advert_6th Dec. 2018

Stanbic Bank - Uhuru Banking - 5th Nov. 2018

CMTL Advert - 5th Nov. 2018

Wednesday, 4 April 2018

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AZINDUA RASMI MRADI WA UMEME WA MW 240 WA KINYEREZI II APRILI 3, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Dkt. Medard Kalemani Waziri wa Nishati akitoa maelekezo kuhusu mitambo ya kufua umeme kabla ya kuzindua rasmi mtambo wa kinyerezi II nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Aprili 3, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Meneja wa Kituo cha kufua umeme cha Kinyerezi II Mhandisi Stivin Manda akitoa maelekezo kuhusu mitambo ya kufua umeme kabla ya kuzindua rasmi mtambo wa kinyerezi II nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Aprili 3, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua mitambo ya kufua umeme kabla ya kuzindua rasmi mtambo wa kinyerezi II nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Aprili 3, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiboneza kitufe kuashiria kuwasha rasmi mtambo wa Umeme wa kinyerezi II nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Aprili 3, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza mwakilishi wa Balozi wa Japan Nchini Bw. Hiloyuki Kubota wakati wa sherehe za uzinduzi rasmi mtambo wa umeme wa kinyerezi II nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Aprili 3, 2018. 
Sehemu ya mtambo mpya na wakisasa wa kufua umeme wa MW 240 wa kinyerezi II uliozinduliwa rasmi na Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Aprili 3, 2018.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

No comments:

Post a Comment