Foreign Exchange Rates

CRDB Bank Advert

Ultimate Finance Advert

Advertise Here

Advertise Here

Sunday, 25 March 2018

MSHINDI KAMPENI YA AKAUNTI YA MALENGO YA BENKI YA NBC KANDA YA DODOMA AKABIDHIWA GARI LAKE

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dk. Bilinith Mahenge akikabidhi funguo na kadi ya gari jipya aina ya Suzuki carry ‘Kirikuu’ kwa mmoja wa washindi wa kampeni ya akaunti ya Malengo ya Benki ya NBC, Patrick Bartholomeo Mgimwa (wa pili kushoto), katika hafla iliyofanyika mjini Dodoma jana. Wengine kutoka kushoto ni Meneja Mahusiano Sekta ya Umma na Taasisi, Pascas Mhindi, Mkuu wa Bidhaa za Wateja Rejareja wa NBC, Andrew Lyimo na Meneja wa NBC Kanda ya Morogoro, James Ndimbo. 
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dk, Bilinith Mahenge(katikati), akihojiwa na waandishi wa habari mara baada ya kukabidhi zawadi ya gari aina ya Suzuki Kirikuu kwa mmoja wa washindi wa kampeni ya Malengo ya Benki ya NBC, Patrick Bartholomeo Mgimwa (kulia kwake), katika hafla iliyofanyika mjini Dodoma jana. Wengine kutoka kushoto ni Meneja Mahusiano Sekta ya Umma na Taasisi, Pascas Mhindi, Mkuu wa Bidhaa za Wateja Rejareja wa NBC, Andrew Lyimo na Meneja wa Kanda ya Morogoro, James Ndimbo. 
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dk, Bilinith Mahenge (kulia), akizungumza na maofisa wa Benki ya NBC kabla ya kukabidhi zawadi ya gari aina ya Suzuki Kirikuu kwa mmoja wa washindi wa kampeni ya Malengo ya Benki ya NBC, Patrick Bartholomeo Mgimwa (hayupo pichani), katika hafla iliyofanyika mjini Dodoma jana. Kutoka kushoto ni, Meneja wa Kanda ya Morogoro, James Ndimbo, Meneja Mahusiano Sekta ya Umma na Taasisi, Pascas Mhindi na Mkuu wa Bidhaa za Wateja Rejareja, Andrew Lyimo. 
Mkuu wa Bidhaa za Wateja Rejareja wa Benki ya NBC Tanzania, Andrew Lyimo (katikati), akihojiwa na waandishi wa habari katika hafla hiyo. Kushoto kwake ni Meneja Mahusiano Sekta ya Umma na Taasisi, Pascas Mhindi na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dk. Binilith Mahenge.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dk, Bilinith Mahenge (wa sita kulia), akipiga picha ya kumbukumbu na wafanyakazi wa NBC Tawi la Dodoma pamoja na baadhi ya viongozi wao baada ya kukabidhi zawadi ya gari kwa mshindi wa kampeni ya akaunti ya Malengo mjini Dodoma jana.

No comments:

Post a Comment