| Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Bi. Anna Mgwila mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro KIA na kuelekea Mererani wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara kwaajili ya ufunguzi wa barabara ya KIA – MERERANI yenye urefu wa km 26. Septemba, 20 ,2017. |
No comments:
Post a Comment