Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Tuesday, 12 September 2017

ENGENDERHEALTH KWA KUSHIRIKIANA NA BLOOMBERG PHILANTHROPIES, THAMINI UHAI, ANGERUP SUPPORT NA CDC YAKABIDHI SERIKALI VITUO VYA AFYA 26 VYENYE THAMANI YA ZAIDI YA SH. BILIONI 2.5 MKOANI KIGOMA

Naibu Mkurugenzi wa EngenderHealth Lulu Ng’wanakilala akielezea kuhusu miradi ambayo imekuwa ikifadhiliwa na asasi anayoiongoza. Wakati asasi ya EngenderHealth ikikabidhi vituo vya afya 26 kwa serikali, hafla hiyo imefanyika katika kijiji cha Mwakizega, wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma hivi karibuni.   
Mwakilishi wa Bloomberg Philanthropies Dr Godson Maro akiwasilisha salamu na kuelezea kuhusu asasi anayoiwakilisha.    
Mkuu wa wilaya ya Uvinza Mwanamvua Hoza Mlindoko akimkaribisha mgeni rasmi naibu Waziri wa Afya, Ustawi wa jamii, Jinsia, Wazee na watoto katika sherehe hiyo ya makabidhiano. 
 Umati wa wanakijiji waliohudhuria hafla hiyo.
Meza kuu wakiimba wimbo maarufu wa kabila la Kiha ‘ikidolidoli’.   
Mgeni rasmi kwa kushirikiana na meza kuu wakikata utepe kuashiria kukabidhiwa kwa vituo hivyo vya afya.   
Mkunga muuguzi wa kituo cha Afya Mwakizega, Mary Twakazi (kushoto) akitoa maelezo kuhusu kitanda maalum cha kujifungulia kinamama kilichotolewa na shirika la EngenderHealth.    
Picha ya pamoja ya mgeni rasmi na baadhi ya wafanyakazi wa mashirika wafadhili.

No comments:

Post a Comment