Foreign Exchange Rates

Selcom Pesa Advert_110225

Selcom Pesa Advert_110225

Standard Chartered Advert_300125

Standard Chartered Advert_300125

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

Wednesday, 11 May 2016

TIGO YATOA MSAADA WA VYANDARUA KWA HOSPITALI YA UKEREWE

Mkurugenzi wa Kanda ya ziwa wa mtandao wa tigo Ali Maswanya (fulana ya blue), akimkabidhi vyandarua 80 Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Wilaya ya Ukerewe Dk Kaniki Titus, kwenye hafla ya makabidhiano iliyofanyika Mwanza hivi karibuni.
Mkurugenzi wa Mikakati (Director of Strategy) wa tigo Kobbina Awuah (wa tatu kushoto) akimkabidhi vyandarua 80 Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Wilaya ya Ukerewe Dk Kaniki Titus, kwenye hafla ya makabidhiano iliyofanyika Mwanza hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment