Foreign Exchange Rates

DStv Advert_020324

DStv Advert_020324

SBT Tanzania Advert_291123

Wednesday 4 May 2016

FIRST NATIONAL BANK YAFUNGUA TAWI MWANZA

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella akipata maelezo kuhusu huduma zinazotolewa na benki ya FNB Tanzania kutoka kwa Asmini Gambo, Mshauri wa Huduma kwa Wateja na Mauzo wa benki hiyo baada ya mkuu huyo wa mkoa kuzindua huduma za benki hiyo jijini Mwanza.
Mkuu wa Biashara wa FNB Tanzania, Francois Botha akimueleza Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella jinsi mashine ya kisasa ya kutolea fedha inavyofanya kazi baada ya Mkuu huyo wa Mkoa kuzindua huduma za benki hyo jijini Mwanza.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella (katikati) akikata utepe kuzindua rasmi tawi la benki ya FNB Tanzania la Mwanza jana jijini humo huku akiambatana na Mkuu wa Biashara wa FNB Tanzania, Francois Botha (kushoto) pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Nyanza Bottling, Christopher Gachuma (kulia) na Alex Mziray, Mkurugenzi wa Fedha wa benki hiyo.

No comments:

Post a Comment