Foreign Exchange Rates

CRDB Bank Advert_070325

Selcom Pesa Advert_110225

Selcom Pesa Advert_110225

Standard Chartered Advert_300125

Standard Chartered Advert_300125

Thursday, 4 June 2015

TIGO YAZINDUA DUKA JIPYA MOSHI

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Leonidas T. Gama akiongea na waandishi wa habari na wageni waalikwa(hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa Tawi la Tigo Moshi Mjini, wengine kulia Mkuu wa Wilaya ya Moshi Mhe. Novatus Makunga na kushoto Meneja wa Ubora huduma kwa Wateja Tigo, Mwangaza Matotola.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Leonidas T. Gama aikata utepe kuzindua rasmi Tawi la Tigo Moshi Mjini, wanaoshuhudia kulia ni Gwamaka Mwakilembe, Meneja huduma kwa wateja Kanda ya Kaskazini na kushoto ni Meneja wa ubora huduma kwa wateja Tigo, Mwangaza Matotola.
Meneja huduma kwa wateja Kanda ya Kaskazini, Gwamaka Mwakilembe akitoa maelezo kwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Leonidas Gama juu ya bidhaa zilizopo ndani ya Duka la Tigo lililozinduliwa Moshi Mjini hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment