Foreign Exchange Rates

DStv Advert_020324

DStv Advert_020324

SBT Tanzania Advert_291123

Tuesday 26 May 2015

MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA NBC AKUTANA NA WATEJA WA BENKI HIYO JIJINI MWANZA

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Edward Marks akizungumza na baadhi ya wateja wa benki hiyo wa jijini Mwanza hivi karibuni katika hafla iliyoandaliwa na benki hiyo ili kufahaminiana na mkurugenzi huyo aliyejiunga na NBC hivi karibuni.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Edward Marks (wa pili kushoto) akibadilishana mawazo na baadhi ya wateja wao wa jiji la Mwanza katika hafla iliyoandaliwa na benki hiyo ili kufahaminiana na mkurugenzi huyo aliyejiunga na benki hiyo hivi karibuni.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Edward Marks (wa pili kulia) akizungumza na baadhi ya wateja wa benki hiyo wa jijini Mwanza kuhusu jinsi NBC ilivyojipanga kuhakikisha wateja wao wanapata huduma bora na za uhakika.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Edward Marks (kushoto) akimsikiliza mmoja wa wateja wa benki hiyo jijini Mwanza katika hafla iliyoandaliwa na benki hiyo ili kufahaminiana na mkurugenzi huyo aliyejiunga na NBC hivi karibuni akitokea Benki ya Barclays nchini Misri.

No comments:

Post a Comment