Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Monday 9 February 2015

BENKI YA NBC YADHAMINI SEMINA YA WAHARIRI WA BIASHARA NA UCHUMI

Kaimu Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya NBC, Rukia Mtingwa akifungua semina ya wahariri wa habari za biashara na uchumi kutoka vyombo mbalimbali vya habari iliyodhaminiwa na benki hiyo jijini Dar es Salaam juzi.
Meneja Mahusiano wa Benki ya NBC, William Kallaghe akizungumza wakati wa semina ya wahariri wa habari za biashara na uchumi iliyodhaminiwa na benki hiyo jijini Dar es Salaam juzi.
Meneja Mwenza wa Kampuni ya Auditax international, Straton Makundi akiwasilisha mada kuhusu uelewa wa taarifa za fedha za taasisi mbalimbali wakati wa semina ya wahariri wa habari za biashara na uchumi iliyodhaminiwa na benki ya NBC jijini Dar es Salaam juzi.
Mhariri Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Mwananchi Communications Ltd, Bakari Machumu akitoa mada kuhusu uandishi sahihi wa habari za biashara na uchumi wakati wa semina ya wahariri wa habari za biashara na uchumi iliyodhaminiwa na benki ya NBC jijini Dar es Salaam juzi.
Mhadhiri wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM), Salutary Orio aliwasilisha mada kuhusu sheria za mabenki na biashara za kibenki wakati wa semina ya wahariri wa habari za biashara na uchumi iliyodhaminiwa na benki hiyo jijini Dar es Salaam juzi.
Mmoja wa waendesha mikadala wakati wa semina ya wahariri wa habari za biashara na uchumi, Arden Kitomari mmiliki wa blogu ya Kitomari Banking & Finance blog, akiweka mambo sawa wakati wa semina hiyo.

No comments:

Post a Comment