Foreign Exchange Rates

DStv Advert_020324

DStv Advert_020324

SBT Tanzania Advert_291123

Thursday 2 October 2014

UZINDUZI WA KAMPENI YA BIA YA TUSKER IJULIKANAYO KAMA "FANYA KWELI"

Mkurugenzi wa Masoko wa kampuni ya bia ya Serengeti, Efrahim Mafuru, akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa kampeni ya bia ya Tusker ijulikanao kama "Fanya kweli". Hafla ya uzinduzi huo ilifanyika katika ukumbi wa Danken, jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi wa Masoko wa kampuni ya bia ya Serengeti, Efrahim Mafuru, akiongea na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa kampeni ya bia ya Tusker ijulikanao kama "Fanya kweli". Hafla ya uzinduzi huo ilifanyika katika ukumbi wa Danken, jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi wa kampuni ya bia ya Serengeti, Steven Gannon (kulia) akimsikiliza msanii, Moses Sande a.k.a Vipaji Vingi wakati alipokua akitumbuiza katika uzinduzi wa kampeni ijulikanayo kama "Fanya kweli", katika ukumbi wa Danken, jijini Dar es Salaam.

Kutoka kulia ni Mkurugenzi wa kampuni ya bia ya Serengeti, Steven Gannon, Meneja wa bia ya Tusker, Stalovise Shayo, Meneja Masoko, Anitha Msangi na Mkurugenzi wa Masoko, Ephraim Mafuru, wakionyesha waandishi wa habari (hawapo pichani) mwonekano mpya wa bia ya Tusker wakati wa uzinduzi wa kampeni ya "Fanya kweli" katika ukumbi wa Danken, jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi wa Masoko wa kampuni ya bia ya Serengeti, Efrahim Mafuru (katikati) akiongea na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya "Fanya kweli", kushoto ni Meneja wa bia ya Tusker, Stalovise Shayo, na kulia ni Meneja Masoko, Anitha Msangi, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Danken, jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment