Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Wednesday 6 August 2014

NMB YAENDELEA KUTOA HUDUMA KWENYE MAONYESHO YA NANE NANE ARUSHA

Mteja akipata maelezo kuhusu huduma za NMB katika maonyesho ya Nane Nane mkoani Arusha.

Huduma mbali mbali ikiwemo ufunguzi wa NMB Chap Chap akaunti hupatikana katika banda la NMB kwenye maonyesho ya Nane Nane, Arusha. 

Mteja akisoma moja ya bidhaa mbali mbali katika maonyesho ya Nane Nane mkoani Arusha. 

Chap Chap Instant Account.

Mteja akifungua akaunti ya Chap Chap katika maonyesho ya Nane Nane mkoani Arusha.

No comments:

Post a Comment