Blog Rebranding Teaser_030826

Blog Rebranding Teaser_030826

Absa Banner_301026_111126

Stanbic Bank Banner_201026

Tuesday, 17 September 2019

BENKI YA EXIM YAZINDUA KAMPENI KUHAMASISHA MATUMIZI YA HUDUMA SALAMA ZA KIFEDHA

Dar es Salaam: Septemba16, 2019: Benki ya Exim Tanzania leo imezindua kampeni maalum inayolenga kuhamasisha wateja wake kuhusiana na matumizi ya mtiririko wa huduma maalumu za kiusalama kwenye masuala ya fedha zinazotolewa na benki hiyo.

Kupitia mtiririko huo imebainishwa kuwa wateja wa benki hiyo wanapata huduma mbalimbali ikiwemo huduma ya usafirishaji wa fedha kwa usalama (Cash-In-Transit service), huduma ya kiusalama ya malipo (Host to host services), huduma za kisasa za hundi (Corporate Cheque Capture service) pamoja na huduma ya kuweka (deposit) pesa kwenye akaunti ya benki hiyo wakati wowote kwa kutumia mashine ya kuwekea fedha (Cash Deposit Machines services).

Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni hiyo uliofanyika jijini Dar es Salaam leo Mkuu wa Idara ta Masoko na Mahusiano wa benki hiyo Bw Stanley Kafu alisema kupitia huduma hizo wateja wa benki hiyo hawahitaji tena kupanga foleni kwenye matawi ya benki hiyo ili kupata huduma za kifedha au hata kuhofia muda wa kufungwa kwa huduma za benki hiyo kwa kuwa wanaweza kupata huduma wakiwa kwenye maeneo ya kazi.

Friday, 13 September 2019

JOB VACANCY ANNOUNCEMENTS AT A COMMERCIAL BANK WITH A PRESENCE IN MULTIPLE COUNTRIES

A Banking Group in Africa with a presence in multiple countries seeks applications for three senior positions for the Tanzanian subsidiary 

JOB VACANCY ANNOUNCEMENT AT TANZANIA CHAMBER OF COMMERCE, INDUSTRY AND AGRICULTURE (TCCIA) - EXECUTIVE DIRECTOR

TIGO, UNIVERSAL FUND CONNECT 270,000 PEOPLE IN RURAL AREAS

KCB BANK TANZANIA HOLDS THE 2ND BIASHARA CLUB WORKSHOP FOR 2019

KCB Bank Head of Marketing and Corporate Affairs, Ms. Christine Manyenye speaks with Dar es Salaam business owners and executives during the KCB Biashara Club Workshop held at Serena Hotel in Dar es Salaam. The event was attended by over 300 businesses in the SME sector aimed to build skills in financial management as well as discuss opportunities within and outside Tanzania and the bank’s role in making those opportunities a lot more accessible to its customers.
KCB Bank Head of Retail Banking, Mr. Masika Mukule responds to a question from on of Dar es Salaam business owners and executives during the KCB Biashara Club Workshop held at Serena Hotel in Dar es Salaam. The event was attended by over 300 businesses in the SME sector aimed to build skills in financial management as well as discuss opportunities within and outside Tanzania and the bank’s role in making those opportunities a lot more accessible to its customers.
KCB Bank Head of SME and Mortgage of Mr. Abdul Juma, speaks with Dar es Salaam business owners and executives during the KCB Biashara Club Workshop held at Serena Hotel in Dar es Salaam. The event was attended by over 300 businesses in the SME sector aimed to build skills in financial management as well as discuss opportunities within and outside Tanzania and the bank’s role in making those opportunities a lot more accessible to its customers.

BENKI YA NBC YASAIDIA UJENZI WA KITUO CHA POLISI LINDI

Meneja wa Benki ya NBC Mkoa wa Lindi, Iovin Mapunda (katikati) akikabidhi msaada wa mabati 135 pamoja na mifuko 30 ya simenti 30 vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 4 kwa Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Shaibu Ndemanga kusaidia ujenzi wa kituo cha polisi cha Rondo Mnara ikiwa ni sehemu ya shughuli za kuisaidia jamii za benki hiyo zinazoendelea kufanyika sehemu mbalimbali nchini. Makabidhiano hayo yalifanyika katika tawi la NBC mkoani Lindi jana. Kushoto kwa mkuu wa wilaya ni Mwakilishi wa Kamanda wa Polisi wa Wilaya ya Lindi, Inspekta Benard Simpemba.
Meneja wa Benki ya NBC Mkoa wa Lindi, Iovin Mapunda (katikati aliyevaa suti), akikabidhi msaada wa mabati 135 pamoja na mifuko 30 ya simenti vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 4 kwa Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Shaibu Ndemanga kusaidia ujenzi wa kituo cha polisi cha Rondo Mnara ikiwa ni sehemu ya shughuli za kusaidia jamii za benki hiyo zinazoendelea kufanyika sehemu mbalimbali nchini. Makabidhiano hayo yalifanyika katika tawi la NBC mkoani Lindi jana.
Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Shaibu Ndemanga, akishikana mikono na Meneja wa Tawi la NBC Mkoa wa Lindi, Iovin 
(kulia) wakati akipokea msaada wa mabati 135 pamoja na mifuko ya simenti 30 yenye thamani ya shilingi milioni 4 vilivyotolewa na NBC kusaidia ujenzi wa kituo cha polisi cha Rondo Mnara ikiwa ni sehemu ya shughuli za kuisaidia jamii za beni hiyo zinazoendelea kufanyika sehemu mbalimbali nchini. Makabidhiano hayo yalifanyika katika Tawi la NBC mkoani Lindi jana. Kushoto ni Mwakilishi wa Mkuu wa Polisi wa Wilaya ya Lindi, Inspekta Benard Simpemba

TIGO YAZINDUA HUDUMA YA ‘OFFICE INTERNET’ KWA WAFANYABIASHARA WADOGO NA WAKATI TANZANIA

Afisa Mkuu wa Tigo Business, Pavan Ramdhani akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya ‘Office Internet’ ikiwalenga wafanyabiashara wadogo na wa kati nchini, ambapo huduma hiyo ina mfumo wa kisasa uliounganishwa na Microsoft.
Kaimu Mkuu wa mauzo, Niki Kazuka akifanua jambo kwa waandishi wa habari mara baada ya uzinduzi wa huduma mpya ya ‘Office Internet’ ikiwalenga wafanyabiashara wadogo na wa kati nchini, ambapo huduma hiyo ina mfumo wa kisasa uliounganishwa na Microsoft.
Afisa Mkuu wa Tigo Business, Pavan Ramdhani akimkabidhi Router Mkuu wa Idara ya masoko wa Dstv, Baraka Shelukindo mara baada ya uzinduzi wa huduma mpya ya ‘Office Internet’ ikiwalenga wafanyabiashara wadogo na wa kati nchini, ambapo huduma hiyo ina mfumo wa kisasa uliounganishwa na Microsoft. Hafla hiyo ilifanyika katika Makao Makuu ya ofisi za Tigo Jijini Dar es salaam. 
Waandishi wa habari wakifuatilia kwa makini uzinduzi wa huduma mpya ya ‘Office Internet’ ikiwalenga wafanyabiashara wadogo na wa kati nchini, ambapo huduma hiyo ina mfumo wa kisasa uliounganishwa na Microsoft. Hafla hiyo ilifanyika katika Makao makuu ya ofisi za Tigo Jijini Dar es salaam.
Mtaalam bidhaa Tigo Business, Brian Swai akifafanua jambo kwa wageni waalikwa kwenye uzinduzi wa huduma mpya ya ‘Office Internet’ ikiwalenga wafanyabiashara wadogo na wa kati nchini, ambapo huduma hiyo ina mfumo wa kisasa uliounganishwa na Microsoft.
  • Ni huduma ya intaneti yenye kasi inayokwenda sambamba na mfumo wa kisasa wa kibiashara kutoka Microsoft 
Dar es Salaam: Septemba 12, 2019: Kampuni ya simu ya Tigo, kupitia kitengo chake cha Tigo Business leo imetangaza rasmi uzinduzi wa huduma mpya ya ‘Office Internet’ ikiwalenga wafanyabiashara wadogo na wa kati nchini, ambapo huduma hiyo ina mfumo wa kisasa uliounganishwa na Microsoft . Hatua hii inazidi kuifanya Tigo kuendelea kuwa kinara wa ubunifu kuiwezesha kampuni katika kujitolea kufanya biashara zake kwa malengo.

Sambamba na uzinduzi wa huduma ya ‘Home Internet’ uliyofanywa na Tigo hivi karibuni, huduma ya ‘Office Internet’ inakuja na faida endelevu kwa wateja wenye biashara ndogo na za kati ambao hupendelea huduma za intaneti kwa mkataba. Hii inadhihirisha matumzi bora ya mtandao wa wenye kasi nchini Tanzania wa 4G+.

CRITICAL SKILLS FOR FUTURE BANKING - PART ONE

By Kelvin Mkwawa, Seasoned Banker.
The banking industry is transitioning from an era of analog banking to the age of digital. That transition is most evident in retail banking, where online platforms such as mobile banking, internet banking, and agency banking are automating many back-office functions, along with critical customer interactions and banking services. 

According to an Accenture survey done in North America Continent in 2018, nearly all (91%) of banking leaders surveyed agree that new technologies are dramatically changing the way banks engage with customers. 86% of the surveyed bankers stated that mobile, digital payments, and online are the top overall technology investment priorities for banks. 

The main reason the surveyed bankers felt that way is because, banks will face competition not just from the thousands of financial technology companies (Fintechs) with niche products, but also from large gig-economy companies like Apple, Amazon, Google, and others.

With the digital transformation well underway, there is a need to rethink about talents of bankers. The traditional career path of a banker being hired and automatically moving up the ladder due to mutual loyalty between a bank and the banker no longer exists. There is high pressure from today’s bankers to constantly upskill and learn quickly as the banking industry is being disrupted every day due to the confluence of technology and competition. 

Therefore, bankers are not only expected to possesses technical skills but increasingly they are required to have the technology and customer-focused skills as well. Nonetheless, I believe that some roles, such as relationship managers, will remain a critical part of a bank’s value proposition. Even though most of the operations are becoming more automated, there will still be a need for smart, skilled personnel who can interact directly with customers and guide them through complex transactions and decision-making processes.

TANZANIA INAUGURATES US $150M MWALIMU NYERERE FOUNDATION BUILDING

The government of Tanzania led by President John Magufuli inaugurated the Mwalimu Nyerere Foundation Building built by China Railway Construction Engineering Group (CRCEG) at cost of US $150m. The 30-story building was developed to honour the legacy of Tanzania’s founding leader, Julius Nyerere.

The development has a total construction area of 63,000 square meters and is home to a five-star hotel with 256 bedrooms and suites, 7,000 square meters of offices, 2,000 square meters of commercial retail areas and supporting facilities such as conference centres and parking lots.
Mwalimu Nyerere Foundation Building

The project is a partnership between Mwalimu Nyerere Foundation, a non-governmental organisation which owns the land and will occupy some of the offices, and the CRJE Estate Ltd, a fully owned subsidiary of the China Railway Jianchang Engineering Company. CRJE Estate will manage the project for 20 years under a build, operate and transfer arrangement.

OFFICIAL LAUNCHING OF NBC DODOMA BUSINESS CLUB

Government asks businesspeople to tap opportunities in Dodoma
Dodoma; 12th, September, 2019: Dodoma Regional Commissioner (RC), Dr Binilith Mahenge has asked businesspeople in the country’s capital—Dodoma, to acquire loans from financial institutions so that they can boost their business especially now when the city is growing rapidly.

In his speech read on his behalf by Dodoma City Council Director, Godwin Kunambi during the official launching of the business club by the National Bank of Commerce (NBC), apart from commending NBC for the initiative, The RC said there was a need by businesspeople in Dodoma to capitalize on financial institutions so that they can have financial strength to help them to benefit from the country’s economic opportunities.

Currently, the regional authorities are implementing various robust development projects including roads, the largest bus stand in East African region, expansion of Dodoma airport, construction of resting gardens which will have a higher capacity of financial flows thus helping people to use banks effectively including NBC so as they can double their capital which will help them to invest more in various businesses.

Wednesday, 11 September 2019

BENKI YA CRDB YAANDAA KONGAMANO LA UWEZESHAJI WAKANDARASI MIRADI YA MAENDELEO NCHINI

Benki ya CRDB imeandaa kongamano maalum la uwezeshaji kibiashara kwa ajili ya Wakandarasi na wadau mbalimbali wa ujenzi wa miradi ya maendeleo nchini ikiwamo ujenzi wa reli ya kisasa (Standard Gauge Railway) na mradi wa uzalishaji umeme wa bonde la mto Rufiji (Rufiji Hydropower Project).

Akizungumza wakati wa kongamano hilo ambalo lilihudhuriwa na makampuni zaidi ya 400 ya ukandarasi na watoa huduma mbalimbali, Afisa Biashara Mkuu wa Benki ya CRDB, Dkt. Joseph Witts alisema kongamano hilo limelenga katika kuwajengea uwezo wakandarasi nchini ili kuwasaidia kutekeleza miradi yao kwa ufanisi zaidi.

“Benki yetu ya CRDB imeweka mikakati mikubwa katika kuhakikisha tunaisaidia Serikali yetu katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya Maendeleo, tulianza kwa kutoa mikopo na dhamana katika miradi mbalimbali ikiwamo mradi wa reli ya kisasa ya SGR na mradi wa umeme wa maji wa Rufiji (RHPP). Sasa hivi tumejipanga kuongeza wigo wetu katika kuwasaidia wakandarasi na watoa huduma katika miradi hii, kwani hawa ndio watekelezaji wenyewe,” alisema Dkt. Witts.

Dokta Witts alisema benki hiyo kupitia kauli mbiu yake ya “Tupo Tayari” imejipanga vilivyo kuwahudumia Wakandarasi hao nchini huku akitaja baadhi ya huduma ambazo benki hiyo inazitoa kwa ajili ya wateja kupitia idara yake ya wateja wakubwa.

“Benki yetu sasa hivi inatoa huduma ya dhamana kwa wakandarasi au wateja ambao wanatafuta kazi ijulikanayo kama ‘Bid Guarantee’ hii inatuwezesha kumjengea mkandarasi uwezo wa kupata kazi, lakini vilevile tunatoa dhamana za utekelezaji wa miradi ‘Performance Guarantee’ na dhamana za malipo ya awali ‘Advance Payment Guarantee’,” alisema Dkt. Witts.

Dkt. Witts alisema Benki hiyo imeboresha taratibu zake za utoaji mikopo akiwataka wakandarasi hao kujitokeza kwa wingi kuomba mikopo, pamoja na kujiunga na huduma za bima ili kujikinga na majanga yanayoweza kutokea. “Benki ya CRDB ni Benki yenu, na sisi tupo hapa kuwahudumia niwahakikishie tu sisi Tupo Tayari kuwahudumia,” alihitimisha Dkt. Witts.

Kwa upande wake Msajili Mkuu wa Wakandarasi nchini (CRB), Rhoben Nkori aliipongeza Benki ya CRDB kuwa mstari wa mbele kuwezesha utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo nchini huku akiwataka wakandarasi wote kuchangamkia fursa hiyo inayotolewa na Benki ya CRDB katika kukuza na kuboresha utendaji wa kazi zao.

Wakandarasi na wadau mbalimbali waliohudhuria kongamano hilo waliipongeza Benki ya CRDB kwa hatua hiyo ya kuwakutanisha wadau wa sekta ya ujenzi nchini huku wakieleza fursa zinazotolewa na Benki ya CRDB zitakwenda kuleta sura mpya katika utekelezaji wa miradi ya miundo mbinu nchini.
Afisa Mkuu wa Biashara wa Benki ya CRDB, Dkt. Joseph Witts akizungumza katika Kongamano la uwezeshaji kibiashara lililoandaliwa na benki hiyo kwa ajili ya Wakandarasi na wadau mbalimbali wanaohusika na utekelezaji wa ujenzi wa miradi mikubwa ya maendeleo nchini, lililofanyika leo kwenye ukumbu wa Hoteli ya Serena, jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi wa Wateja wa Kati na Wadogo wa Benki ya CRDB, Boma Raballah akizungumza katika Kongamano la uwezeshaji kibiashara lililoandaliwa na benki hiyo kwa ajili ya Wakandarasi na wadau mbalimbali wanaohusika na utekelezaji wa ujenzi wa miradi mikubwa ya maendeleo nchini, lililofanyika leo kwenye ukumbu wa Hoteli ya Serena, jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi wa Mahusiano wa Benki ya CRDB, Tully Ester Mwambapa akizungumza jambo wakati alipokuwa akiongoza Kongamano la uwezeshaji kibiashara lililoandaliwa na benki hiyo kwa ajili ya Wakandarasi na wadau mbalimbali wanaohusika na utekelezaji wa ujenzi wa miradi mikubwa ya maendeleo nchini, lililofanyika leo kwenye ukumbu wa Hoteli ya Serena, jijini Dar es salaam.

Tuesday, 10 September 2019

CLYDE & CO UPDATER - BANK OF TANZANIA: CIRCULAR ON THE LOCATION OF PRIMARY AND SECONDARY DATA CENTRES

In this month's legal briefing, we cover the requirement for banks and financial institutions to locate their primary or secondary data centres in Tanzania. This requirement is detailed in the Bank of Tanzania (the BoT) circular number FA.56/293/01/54 (the Circular) issued on 23 August 2019.


In summary the Circular requires that all banks and financial institutions in Tanzania do the following:
  1. put in place a primary or secondary data centre
  2. within seven working days from the date of issuance of the circular re-confirm the location of the data centres, compliance status and prepare for the centres to be tested
  3. within 3 months from the date of issuance of this circular establish a primary data centre
Non-compliance with 1. and 2. above attracts a penalty of TZS 5 billion and TZS 500 million for every month of the recurring offence.

The circular is to be read together with circular number FA.56/293/043/VOL.III/28 issued on 3 March 2014, FB.44/475/01/35 issued on 29 February 2016 and FA.56/235/20/29 issued on 10 July 2019. Copies of these circulars can be found on the Bank of Tanzania website.


Key Definitions

A data centre is a data storage facility where banks and financial institutions store all their operational data including client data and information on account transactions / deposits etc. A primary data centre is the main storage facility while a secondary data centre is a data recovery site capable of sustaining operations in case the primary data centre is inaccessible.

CLYDE & CO UPDATER - THE MICROFINANCE (ROLE OF THE MINISTER) REGULATIONS 2019

Following our updater on the Microfinance Act 2018 (the Act), this month's legal briefing focuses on the Microfinance (Role of the Minister) Regulations, Government Notice No. 575 of 2019 (the Regulations). The Regulations have been made under section 15(4) of the Act and were made public on 2 August 2019. The Regulations will come into operation via a commencement notice that will be published in the Gazette by the Minister of Finance (the Minister).


The Regulations will give the Minister power to enhance, ensure and promote a sustainable microfinance business environment and implement microfinance policies, transparency and accountability. When the Regulations come into operation, they will mainly affect Microfinance Service Providers (MFIs), promoters and stakeholders.
Key definitions in the Regulations

Focal Person refers to a person responsible for coordinating all matters relating to microfinance business within his area of designation. Among other things, the Focal Person will be responsible for developing and managing the microfinance database in his locality; promoting microfinance business in the country; monitoring and evaluating the progress of microfinance business; conducting registration of, and issuing permits to, Promoters; and registering and deregistering Promoters.

Forum refers to the Microfinance Stakeholders Forum whose function is to deliberate on issues of common interest for the purpose of coordination and promotion of the microfinance subsector. The Forum will be composed of representatives from the Ministry for Finance, the Bank of Tanzania (BoT), delegated authority, MFIs, microfinance industry associations, business development service providers, development partners, Promoters and relevant Stakeholders.

Promoter is an individual or an entity registered under the Regulations whose function is to promote microfinance business.

Stakeholder is an individual or entity that is directly or indirectly engaged in activities relating to microfinance business and includes MFIs, consumers, Promoters and government institutions.


SUPPLY AND INSTALLATION OF GENERATORS FOR NMB BANK

AZANIA BANK LTD NOTICE TO SHAREHOLDERS

AIRTEL PARTNERS WITH MINISTRY OF LANDS IN PAYING BILLS THROUGH AIRTEL MONEY

The Minister for Lands, Housing and Human Settlements Development, Mr William Lukuvi shakes hands with Airtel Tanzania Corporate Communication and Regulatory Affairs Director, Ms Beatrice Singano in Dodoma yesterday shortly after the two announced the use of Airtel-Money for land tax collection.
The Minister for Lands, Housing and Human Settlements Development, Mr William Lukuvi explains a point to the audience. Looking on is Airtel Tanzania Corporate Communication and Regulatory Affairs Director, Ms. Beatrice Singano.
Airtel Tanzania the Smartphone Network has partnered with the Ministry of Lands, Housing and Settlement Development (MLHHSD) whereby Airtel customers can now pay their land bills through Airtel Money. The move is aimed at further promoting and deepening financial inclusion among the Tanzanians by easing payment processes where customers had to travel to the Ministry or find nearest bank to pay their land bills.

As per the latest statistics from the Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA), Tanzania has more than 260 million mobile money subscriptions with total mobile money transactions value pegged at more than TZS 8 trillion. The launch of Land bills payment through Airtel money will increase the total number of subscription as well as mobile money subscribers country wide.

MHESHIMIWA WAZIRI LUKUVI AZINDUA ULIPAJI KODI YA ARDHI KWA AIRTEL MONEY

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akizungumza wakati wa kuzindua huduma ya ulipaji kodi ya pango la ardhi kupitia Airtel Money katika ofisi za Wizara eneo la Mtumba jijini Dodoma. Wa pili kulia ni Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel Beatrice Singano na kulia ni Meneja wa Huduma kwa Wateja Airtel mkoa wa Dodoma Delphina Msangi.
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akiongea na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel Beatrice Singano wakati wa kuzindua huduma ya ulipaji kodi ya pango la ardhi kupitia Airtel Money katika ofisi za Wizara eneo la Mtumba jijini Dodoma.
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amezindua huduma ya ulipaji kodi ya pango la ardhi kwa kutumia mtandao wa simu ya mkononi kupitia Airtel Money.

Uzinduzi wa ulipaji kodi ya pango la ardhi kwa njia ya Airtel Money unarahisisha huduma hiyo ambapo wamiliki wa ardhi wataweza kufanya malipo kupitia mtandao huo wa simu bila kwenda ofisi za Ardhi.

Akizungumza jijini Dodoma jana tarehe 9 Septemba 2019 wakati wa kuzindua huduma hiyo, Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi alisema ubunifu wa serikali kufanya malipo ya Ankara za serikali kwa kutumia mfumo wa GePG umerahisisha malipo ya tozo mbalimbali za serikali ikiwemo kodi ya pango la ardhi.

Sunday, 8 September 2019

CRDB BANK'S SIMBANKING VISA - CHOOSE A COOL WAY TO MAKE PAYMENTS!

Now pay at any shop, supermarket, petrol stations and many other outlets, effortlessly using your mobile phone.

SimBanking Visa is a service available to any CRDB Bank account holder with SimBanking and any Visa branded TemboCard. SimBanking Visa lets you make payments for products and services, transfer funds to any Visa cardholder worldwide as well as deposit and withdraw from any mVisa agent all over the world.

SimBanking Visa has a feature called “Scan to Pay” that allows for a very simplified payment methodology through Quick Response (QR Code) technology. All one has to do is download a SimBanking App from App Store (IOS users) and Google Play Store (Android users). Simply Scan a QR Code at any business accepting Visa transactions and make payment.

Paying with SimBanking Visa is secured and convenient. No need to carry cash, just Scan, Pay and Go.


Thursday, 5 September 2019

BENKI YA AZANIA YATANGAZA WASHINDI WAPYA WA PROMOSHENI YA 'AMSHA NDOTO'

Meneja wa Mauzo ya Reja Reja wa Benki ya Azania, Thobias Samwel (kulia) akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kufanyika kwa droo ya kupata washindi iliyofanyika katika makao makuu ya benki hiyo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Humud Semvua, mjumbe kutoka Bodi ya Taifa ya Michezo ya Kubahatisha.

THERE’S A NEW ‘BABY’ IN TOWN . . . THE MWALIMU NYERERE FOUNDATION SQUARE!

The outlook of the brand new Mwalimu Nyerere Foundation Square Building located at Sokoine / Morogoro Junction in Dar es salaam after completion. The 30 story building built by the Chinese Construction Company, CRJE (East Africa) Limited is expected to be launched soon.

TIGO YAZINDUA HUDUMA YA HOME INTERNET


Meneja Huduma za Intaneti,  Mkumbo Myonga akiwaelezea waandishi wa habari, jinsi gani Mteja anaweza kuangalia salio, kununua kifurushi kwa kupitia Tigo Pesa App katika uzinduzi wa huduma ya kipekee ya Home Internet. Kushoto kwake ni Afisa Mkuu wa Biashara, Tarik Boudiaf.


Mkuu wa Bidhaa na Huduma kutoka Tigo, David Umoh akimkabidhi Home Internet Router Mtangazaji wa Clouds Tv, Abdallah Kamelo, katika uzinduzi wa huduma ya kwanza na ya kipekee ya Home Internet kutoka Tigo, Katikati ni Afisa Mkuu wa Biashara, Tarik Boudiaf
Meneja Huduma za Intaneti Mkumbo Myonga akiwaelezea waandishi wa habari, jinsi gani Mteja anaweza kuangalia salio, kununua kifurushi kwa kupitia Tigo Pesa App katika uzinduzi wa huduma ya kipekee ya Home Internet.

Dar es Salaam, 3 Septemba 2019: Wateja wa Kampuni ya mawasiliano,Tigo, kwa mara ya kwanza watapata fursa ya kufurahia huduma Home Internet yenye kasi ya 4G+ majumbani mwao.

Huduma hii ni ya kwanza na ya kipekee Tanzania, yenye ubunifu wa hali ya juu itakayowafanya wateja wafurahie intaneti ya 4G+ kwa kutumia vifaa vya Router au Modem. 

Kampuni ya simu ya Tigo imezindua rasmi huduma hiyo ambayo itatatua changamoto ambazo watumiaji wa mitandao ya simu hususan wale wa majumbani wamekuwa wakikabiliana nazo.

AIRTEL AFRICA APPOINTS IAN FERRAO AS REGIONAL DIRECTOR EAST AFRICA REGION

Nairobi, September 4, 2019: Airtel Africa, a leading telecommunications services provider with operations in 14 countries across Africa, is pleased to announce the appointment of Ian Ferrao as Regional Director of its East Africa business.

Ian Ferrao has more than 12 years of experience in senior management telecommunications roles in Africa. Prior to joining Airtel Africa, he was the CEO of Vodacom Tanzania PLC, the CEO of Vodacom Lesotho and Chief Commercial Officer at Vodacom Business Africa. He holds a First Class Honours Degree in BSc Management Sciences from the Warwick Business School.

Commenting on this appointment, Raghunath Mandava, Airtel Africa’s Chief Executive Officer, said: “We are excited to welcome Ian as Regional Director for East Africa, which includes Kenya, Uganda, Tanzania, Malawi, Zambia and Rwanda. He brings a wealth of relevant telecommunications and mobile money experience within the region and will be an asset to the business. He will be part of the Africa Executive Committee based in Nairobi and will focus on driving growth across voice, data and mobile money in East Africa.”

About Airtel Africa

Airtel Africa is a leading provider of telecommunications and mobile money services, with a presence in 14 countries in Africa, primarily in East Africa and Central and West Africa.

Airtel Africa offers an integrated suite of telecommunications solutions to its subscribers, including mobile voice and data services as well as mobile money services both nationally and internationally. The Group aims to continue providing a simple and intuitive customer experience through streamlined customer journeys.

BIDHAA YA UNGA WA NGANO YA AZAM SASA KUPATIKANA KATIKA VIFUNGASHIO VIPYA

Mkurugenzi wa Mahusiano wa kampuni ya Said Bakhresa Group, Hussein Sufian (kushoto) na Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni hiyo Ahmed Jaruan, wakionyesha waandishi wa habari muonekano mpya wa vifungashio vya unga wa ngano wa Azam ujulikanao kama Ngano Bora, ikiwa ni mkakati wa kulinda ubora na kutambulisha bidhaa zake kwa wateja.

Mkurugenzi wa Mahusiano wa kampuni ya Said Bakhresa Group, Hussein Sufian akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaaam (hawapo pichani) wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa muonekano mpya wa vifungashio vya unga wa ngano wa Azam ujulikanao kama Ngano Bora, ikiwa ni mkakati wa kulinda ubora na kutambulisha bidhaa zake kwa wateja.Wengine pichani ni Maofisa Waandamizi wa kampuni hiyo

Uongozi wa kampuni ya kutengeneza vyakula inayomikiliwa na makampuni ya Said Salim Bakhresa &Ltd, inayozalisha unga bora wa ngano wenye jina la kibiashara la Azam, imetangaza kubadilisha muonekano wa bidhaa yake maarufu ya unga wa ngano unaojulikana kwa chapa ya Ngano Bora.

Muonekano mpya wa kifungashio (mfuko) wa bidhaa hii umeboreshwa ili kuwapatia wateja wake kuitambua kwa urahisi na kuweza kuitofautisha na bidhaa zenye vifungashio vinavyofanana nayo.

BENKI YA KCB TANZANIA YADHAMINI LIGI KUU YA SOKA TANZANIA BARA 2019/20

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya KCB Tanzania, Nd. Cosmas Kimario (wanne kulia), akikabidhi hundi ya shilingi milioni 495.6 kwa Rais wa TFF, Nd. Wallace Karia, kwa ajili ya udhamini wa Ligi kuu Tanzania Bara. KCB imeendeleza udhamini wa ligi hiyo kwa msimu wa 2019/20 ikiwa msimu wa tatu mfululizo. Wanaoshuhudia, (watatu kulia) Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya KCB Tanzania, Nd. John Ulanga, (Mkuu wa Idara ya Masoko wa Benki hiyo Bi. Christine Manyeye na Mwanasheria Mkuu waBenki ya KCB , Bi. Anthonia Kilama hafla ya makabidhiano hayo imefanyika leo jijini Dar es Salaam.

BOLT EXPANDS ACROSS MAJOR CITIES IN TANZANIA

The leading ride-hailing platform in Europe and Africa - Bolt is set to launch its operations in two major urban centers in Tanzania, setting the stage for a continued push to expand its market footprint within the country. The service is available in Arusha from yesterday and will become available in Zanzibar in the next few weeks.

Bolt’s launch in Arusha and Zanzibar will see the number of Tanzanian cities served by the platform rise from the current three to five, making it the largest ride-hailing service provider in terms of geographical reach.

Speaking to the journalist in Arusha yesterday, The Bolt Country Manager in Tanzania, Remmy Eseka said that Bolt’s mission is to make urban transportation more convenient and affordable for more people, thus broadening the company’s reach, providing a platform for job creation through its social contribution. "After Dar es Salaam, Mwanza and Dodoma cities, it was natural that Bolt would gradually expand across the country. We now intend to build new communities in Arusha and Zanzibar as we continue to gain the trust of the Tanzanian people," said Mr Eseka.


LESOTHO, AFRICA'S MEDICAL CANNABIS PIONEER

A worker picks up leaves from cannabis plants inside a greenhouse of Medigrow, a Lesotho-Canadian company that grows legal cannabis, located near Marakabei, in Lesotho on August 6, 2019. The company has invested 17.4 million euros in this infrastructure.
Vast white greenhouses sit high up on the slopes of Lesotho's Marakabei town, hidden from view.

It's not fruit or vegetables, however, growing under the 18 plastic covers, but thousands of cannabis plants.

The cannabis is grown legally by the Lesotho-based company Medigrow and is regulated by the government.

"We have three rows that contain 1,200 plants each. That's 3,600 plants across the whole structure," said Medigrow's head of production Albert Theron, gazing proudly over the crop.

GREEN GOLD

In 2017, the tiny landlocked kingdom of 2.1 million people decided to tap into the booming medical marijuana industry, becoming the first country in Africa to allow the cultivation of cannabis for medicinal purposes.

In order to meet legal standards, most traces of tetrahydrocannabinol (THC) -- the main psychoactive constituent responsible for marijuana's intoxicating effects -- are removed from the seeds.

The remaining medical version is primarily made of the non-psychoactive substance, cannabidiol (CBD), and can only be 0.03 percent THC.

Medigrow has invested $19.3 million (17.4 million euros) in cannabis-growing facilities around the country's capital, Maseru.

A heliport is also being built to ensure the cannabis -- commonly referred to as "green gold" -- is shipped safely and swiftly, said head of operations Relebohile Liphoto.

The investment is spurred by the industry's positive outlook.