Foreign Exchange Rates

Absa Loan Campaign_160426

Absa Loan Campaign_160426

CRDB Bank Advert_070325

Friday, 23 May 2025

WASICHANA WANG'ARA KATIKA TEHAMA KUPITIA MPANGO WA "CODE LIKE A GIRL" WA VODACOM

Mmoja wa wahitimu akifanya wasilisho la mradi wa kundi lake katika kilele cha mafunzo ya Tehama (Code like a Girl) jijini Dar es Salaam. Mradi huo unaendeshwa na taasisi ya dLab kwa udhamini wa Vodacom Tanzania PLC, ikilenga kuwajengea wasichana ujuzi wa TEHAMA na kuwahamasisha kupenda masomo ya Sayansi, Teknolojia, Uhandisi na Hisabati (STEM).



No comments:

Post a Comment