Foreign Exchange Rates

CRDB Bank Advert_070325

Selcom Pesa Advert_110225

Selcom Pesa Advert_110225

Standard Chartered Advert_300125

Standard Chartered Advert_300125

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

Monday, 4 November 2024

VODACOM YASHIRIKI HAFLA YA KUSHEREHEKEA SIKU YA VIKOBA

Mkurugenzi wa Biashara wa Vodacom Tanzania Bw. Nguvu Kamando akizungumza na wanavikundi vya VICOBA katika hafla ya kusheherekea siku ya VICOBA iliyofanyika Alhamisi tarehe 31 Oktoba 2024, katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam. Vodacom walitumia hafla hiyo kuzindua vifurushi vya bei nafuu maalumu kwa ajili ya vikundi hivyo vya kijamii ikiwa ni moja ya adhma yao ya kuhakikisha huduma za mtandao zinawafikia watu wote. Nyuma ni wafanyakazi wa Vodacom Tanzania.




No comments:

Post a Comment