Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Thursday, 12 September 2024

NAIBU WAZIRI WA HABARI ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA TIGO

Kaimu Afisa Mkuu wa Tigo, Jerome Albou (kushoto) akimkaribisha Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Maryprisca Mahundi (kulia) alipotembelea Makao Makuu ya Tigo, ikiwa ni ziara ya Naibu Waziri kutembelea makampuni ya Mawasiliano nchini kwa lengo la kujionea utendaji kazi katika makampuni haya. Katika ziara yake Naibu Waziri alitembelea Makao Makuu ya Tigo na kupokelewa na Menejimenti na baadae akapata fursa ya kutembelea Call Center /Kituo cha Huduma kwa Wateja pamoja na Kituo cha Data (Data Centre).



No comments:

Post a Comment